Dawa icon

Dawa

  • Dawa poster Dawa screenshot 1 Dawa screenshot 2 Dawa screenshot 3

The description of Dawa

App hii hukupa taarifa zifuatazo.

Matumizi – Hapa hueleza kuhusu mtumizi, jinsi inavyofanya kazi na aina ya dawa husika.

Onyo na tahadhari – Hapa hueleza juu ya tahadhari unazopaswa kuchukua utumiapo dawa husika.

Muingiliano – Hapa hueleza kuhusu dawa zingine na chakula vinavyoweza kuingiliana na dawa hii.

Madhara – Hapa panaeleza kuhusu madhara makubwa na madogo/maudhi unayoweza kupata na hatua za kuchukua.

Namna ya kutumia – sehemu hii hukupa mwanga kuhusu jinsi dawa husika hutumika. Sehemu hii hukupa mwanga tu , mara zote fuata maelezo ya mtaalamu wako wa afya kuhusu namna ya kutumia dawa.

Show More

Info Update

Dawa 1.2 Update 2019-07-05 - minor improvements & bug fixed- new ui
Download https://apkpure.com/dawa/tzdawa.app.mwakalonga.dawa/download?from=details
0.0
0 total
5
4
3
2
1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Rating review: